"My Love" ni moja wa wimbo wa Westlife, ulitolewa kama singo kutoka katika albamu yao ya Coast to Coast.
Wimbo wa 'My love' ndio ulikuwa wimbo wa saba kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya Muziki ya uingereza. Wimbo huo ulishika nafasi ya thelathini na tano katika nyimbo zilizoongoza kwa mauzo kwa mwaka 2000, nchini Uingereza.
[hariri] Mpangilio wa Nyimbo
[hariri] CD Ya Kwanza
- My Love (Radio Edit) - 3:52
- If I Let You Go (USA Mix) - 3:40
- Enhanced Section
[hariri] CDm Ya Pili
- My Love (Radio Edit) - 3:52
- My Love (Instrumental) - 3:52
- Enhanced Section (Including "My Love" Video)
[hariri] Nyimbo za Video
kwa upande wa video ya wimbo huu. Wimbo unaanza wakiwa katika Stesheni ya reli, ambapo, Nicky Byrne anawataarifu wenzake kuwa, ndege yao iliyokuwa inafuatia imeahirishwa. Wenzake wanakasirika kutokana na habari hiyo, ambapo Bryan anasema kuwa, yeye anaenda nyumbani. Wengine wanamfuata na ndipo wimbo unaanza.
Shairi la kwanza linafanyika ndani ya uwanja wa ndege, na wakati wa kiitikio, mandhari inabadilika na kuwa eneo la mjini. Baada ya kiitikio cha kwanza kumailizika, mandhari inabadilika tena na kuwa katika eneo la barabara kubwa. Halafu tena katika Kiitikio cha pili, mandhari inabadilika na kuwa katika eneo la pwani. Halikadhalika katika kiitikio cha mwisho kundi hilo la Westlife, wanaimba wakiwa katika kilele wakionesha bahari pembeni mwa barabara kubwa.
[hariri] Mtiririko wa Nyimbo
[hariri] Viunga vya Nje
|
Westlife |
|
Kian • Mark • Nicky • Shane
Diskografia • Videografia • Orodha-nyimbo (Halisi • Marudio • |
|
| Albamu |
|
|
| Albamu za kushukuru na kuridiwa |
|
|
| Albamu za Vibao Vikali |
|
|
| Albamu za kompilesheni |
No. 1 Hits and Rare Tracks (2000) • Released (2005)
|
|
| Ziara za Live na DVD |
|
|
| Muziki na Makala ya DVD |
The Westlife Story • Flying Without Wings Karaoke • Coast To Coast - Up, Close and Personal • Uptown Girl • World Of Our Own • Unbreakable - The Greatest Hits Vol. 1 • Westlife - The Complete Story • Back Home • The Karaoke Collection
|
|
| Tawasifu |
Westlife - Our Story
|
|
| Makala Zinazohusiana |
|
|