Mwimbi (mmea)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwimbi
(Eleusine coracana)
Mwimbi
Mwimbi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja tu)
(bila tabaka): Commelinids (Mimea kama kongwe)
Oda: Poales (Mimea kama manyasi)
Familia: Poaceae (Manyasi)
Jenasi: Eleusine
Gaertn.
Spishi: E. coracana
Gaertn.

Mwimbi au mbege ni aina ya nafaka ulio na asili yake katika milima ya Uhabeshi. Sikuhizi hupandwa katika Afrika ya Mashariki na milimani kwa Asia ya Kusini. Mbegu zake zinaitwa wimbi.

Picha[hariri | hariri chanzo]