Mwembe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa maana tofauti ya jina hili angalia hapa Mwembe (maana)

Mwembe
(Mangifera indica)
Miembe
Miembe
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Sapindales (Mimea kama mmoyomoyo)
Familia: Anacardiaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mkorosho)
Jenasi: Mangifera
Spishi: M. indica
L.

Mwembe (Mangifera indica) ni mti unaozaa maembe.

Mwembe katika ustawi wake huko Kerala, India.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwembe kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.