Mwele
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mwele (Pennisetum glaucum) |
||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Miwele
|
||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mwele ni aina ya nafaka ulio na asili yake katika Afrika. Sikuhizi hupandwa mahali pengi katika kanda kavu za dunia. Mbegu zake zinaitwa mawele.