Musoma (mji)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Musoma | |
| Mahali pa mji wa Musoma katika Tanzania | |
| Anwani ya kijiografia: 1°29′24″S 33°48′0″E / 1.49°S 33.8°E | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Mara |
| Wilaya | Musoma Mjini |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 108 242 |
Musoma ni mji wa Tanzania uliopo kando ya mashariki ya Ziwa Viktoria inapakana na Wilaya ya Rorya kwa upande wa Kaskazini. Ni makao makuu ya Mkoa wa Mara. Musoma ina Halmashauri mbili ambazo ni Halmashauri ya Manispaa ya Musoma na Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa mji huo ilihesabiwa kuwa 108,242 [1].
Marejeo na Viungo vya Nje [hariri]
Kigezo:Kata za Manispaa ya Musoma ni Buhare | Bweri | Iringo | Kamunyonge | Kigera | Kitaji | Makoko | Mukendo | Mwigobero | Mwisenge | Nyakato | Nyamatare | Nyasho
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Musoma (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |