Mtumiaji:Cyprian Benedict Mwageni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cyprian Benedict Mwageni B56 Bplus A.k.a CP (amezaliwa tar. 01 May 1989 majira ya saa 10 jioni)

ni Mtangazaji na DVj kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama B56 Bplus The Big Dad.

alizaliwa mkoani Shinyanga katika wilaya ya Meatu kijiji cha Mwanhuzi, na kisha baadaye akaelekea zake mkoani Iringa kijiji cha Wanging'ombe

(ambako kiasili ni kwao kwasababu Baba yake ni Mbena wa Iringa-Njombe-uwemba-igoma na mama yake ni Msukuma wa shinyanga katika kijiji cha Mwambiti)

kuendelea na masomo yake baada ya baba yake Mzee Benedict Mwageni aliefahamika kwa jina la Mpandakilima kuhamishiwa huko kikazi akiwa kama Afisa Tarafa hiyo. Akiwa na umri wa miaka 8 alizidisha utukutu na kuwa mkorofi sana hivyo alipelekwa kukaa na kaka yake wa ukoo ambaye ni mwalimu aliye fahamika kama

Clement Malunde katika kijiji cha Ilunda na kuendelea na masomo yake akiwa darasa la tatu. ili kujiendeleza zaidi aliendelea na fani zake alizo jaaliwa na mungu

ikiwa ni pamija na ufundi na kuwa anatengeneza transmiter na kufanya matangazo katika radio za watu wa kijiji chake.

Lakini huyu pia ni mwana Karate na judo mzuri alicheza karate katika shule aliyo soma elimu ya kati (Itamba sekondari)iliyopo Mkoani iringa wilayani Makete na

baada ya hapo aliendelea na masomo ya chuo na kusomea IT (Information Technology) katika chuo cha Green hill na kuhitimu mafunzo na baadae alisomea Jounalism (uandishi wa habari na utangazaji na kuanza shughuli zake katika Radio Generation Fm Mbeya na kuwa Dvj katika Club Maarufu Jijini mbeya Babz Lounge The clubin Experience.

Na pia ni mjasiliamali kwani anamiliki Min market inayo fahamika kama B56Bplus Min Market iliyoko Sokoine Mbeya, na pia anamiliki Hiace inayo yanya shughuli

ya kusafirisha abiria mjini Maarufu kama Daradara na anamiliki pikipiki kadhaa maarufu kama bodaboda

Cyprian Mwageni imepigwa mwaka 2014 January