Mrija

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mrija katika kinywaji.

Mrija ni bomba jembamba linalopatikana mwilini au linalotengenezwa na binadamu.

Kazi yake ni kupitisha au kufyonza hewa au kiowevu.