Mpopoo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mpopoo (Areca catechu) |
||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mpopoo (Areca catechu) ni mti unaozaa popoo. Kokwa hii huliwa sana huko Asia ya kusini na kusini-mashariki na pia katika nchi kadhaa za Afrika ya Mashariki zenye idadi kubwa za Wahindi. Jenasi Areca ni jenasi-mfano ya familia Arecaceae.