Mpapai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mpapai (Carica papaya) |
||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mpapai
|
||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mpapai ni mti wa familia Caricaceae ambao unazaa mapapai. Mti huu unatoka Meksiko lakini sikuhizi hupandwa kila mahali katika ukanda wa tropiki kwa sababu matunda yake hupendwa sana.
Picha [hariri]
| Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mpapai kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |