Morelia, Michoacán

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu za Mji wa Morelia, Michoacán



Jiji la Morelia
Nchi Mexiko
Jimbo Michoacán
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 608,049
Tovuti:  morelia.gob.mx

Morelia ni mji mkuu katika jimbo la Michoacán. Ni pia mji mkubwa wa kwanza katika jimbo huu. Mwaka 2005 ilikuwa na wakazi 608,049 mjini, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 735,624.

Uneo lake ni 1,119 km². Mji upo m 1,921 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji ulianzishwa mwaka 1541.


Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Morelia, Michoacán kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.