More Than Words

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“More than Words”
“More than Words” cover
Single ya Extreme
kutoka katika albamu ya Extreme II: Pornograffiti
Imetolewa 1991
Muundo CD maxi, 7"
Imerekodiwa 1990
Aina Folk rock
Urefu 5:33 (More Than Words)
12:53 (CD maxi single)
6:59 (7" single)
Studio A&M Records
Mtunzi Nuno Bettencourt
Gary Cherone
Mtayarishaji Michael Wagener
Mwenendo wa single za Extreme
"Get the Funk Out"
(1991)
"More Than Words"
(1991)
"Hole Hearted"
(1991)

"More Than Words" ni wimbo ulioimbwa na wanamuziki wanaoimba muziki wa wa midundo ya Rork wa kundi la Extreme. Mpiga gitaa katika wimbo huu anaitwa Nuno Bettencourt na sauti zimetiwa na Gary Cherone (na sauti za huruma kutoka kwa Bettencourt). Wimbo huu ulitoka mwaka 1990 katika albamu yao ya Extreme II: Pornograffiti.

Maana ya Wimbo[hariri | hariri chanzo]

Wimbo wenyewe unajaribu kumuuliza mlengwa kuonesha upendo wake zaidi ya maneno.

Orodha ya matamasha[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 23 Machi mwaka 1991wimbo wa "More Than Words" uliingia katika chati ya Marekani ya Billboard Hot 100 na kushika nafasi ya 81 na baada ya muda tu, ukawa tayari umeshafika katika nafasi ya kwanza. Pia ulifika katika nafasi ya pili katika chati ya muziki ya nchini Uingereza ambako kundi hili lilikuwa na mafanikio kabla ya kuingia katika soko la Marekani. Japokuwa walishawahi kufanya vizuri katika chati mbalimbali za nchini Marekani lakini wimbo huu ndio uliowafikisha juu zaidi katika chati za muziki za Marekani

Wimbo wa "More Than Words" ulifuatiwa na wimbo mwingine wa "Hole Hearted" ambao kidogo ulikuwa na mapigo ya haraka kuliko "More Than Words" lakini hata hivyo uliweza kufika katika nafasi ya 4, nchini Canada.


“More Than Words”
“More Than Words” cover
Single ya Frankie J
kutoka katika albamu ya The One (Re-Released Edition)
Imetolewa 13 Septemba 2005
Muundo CD, digital download
Imerekodiwa 2005
Aina Pop
Urefu 4:02
Studio Columbia
Mwenendo wa single za Frankie J
"How to Deal"
(2005)

Waliourudia[hariri | hariri chanzo]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

CD maxi
  1. "More Than Words" (remix) — 5:33
  2. "Kid Ego" — 4:04
  3. "Nice Place to Visit" — 3:16
7" single
  1. "More Than Words" — 3:43
  2. "Nice Place to Visit" — 3:16

Matunukio[hariri | hariri chanzo]

Nchi Matunukio Tarehe Mauzo
Canada[1] Platinum 19 Desemba 1991 100,000
Sweden[2] Gold 21 Novemba 1991 10,000
UK[3] Silver 1 Agosti 1991 200,000
U.S.[4] Gold 17 Mei 1991 500,000

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1991) Ilipata
nafasi
Australian ARIA Singles Chart[5] 2
Austrian Singles Chart[5] 13
Canadian Singles Chart[6] 1
French SNEP Singles Chart[5] 8
German Singles Chart[7] 8
Irish Singles Chart[8] 2
New Zealand RIANZ Singles Chart 1
Norwegian Singles Chart[5] 4
Swedish Singles Chart[5] 4
Swiss Singles Chart[5] 3
UK Singles Chart[9] 2
U.S. Billboard Hot 100[10] 1
U.S. Billboard Hot Mainstream Rock Tracks[10] 12
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks[10] 2
U.S. ARC Weekly Top 40 1
Chart (2000) Peak
position
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Recurrents 20

End of year chart (1991) Position
Australian Singles Chart[11] 7
Swiss Singles Chart[12] 12

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Canada certifications cria.ca Archived 11 Januari 2016 at the Wayback Machine. (Retrieved 29 Agosti 2008)
  2. Swedish certifications Ifpi.se Archived 21 Mei 2012 at the Wayback Machine. (Retrieved 11 Septemba 2008)
  3. UK certifications Bpi.co.uk (Retrieved 29 Agosti 2008)
  4. U.S. certifications riaa.com (Retrieved 29 Agosti 2008)
  5. 5.0 5.1 5.2 5.3 5.4 5.5 "More Than Words", in various singles charts Lescharts.com (Retrieved 7 Aprili 2008)
  6. Canadian Singles Chart [1] (Retrieved 28 Septemba 2008
  7. German Singles Chart Charts-surfer.de Archived 2 Julai 2007 at the Wayback Machine. (Retrieved 7 Aprili 2008)
  8. Irish Single Chart Irishcharts.ie (Retrieved 7 Aprili 2008)
  9. UK Singles Chart Chartstats.com (Retrieved 7 Aprili 2008)
  10. 10.0 10.1 10.2 Billboard Allmusic.com (Retrieved 29 Agosti 2008)
  11. 1991 Australian Singles Chart aria.com (Retrieved 29 Agosti 2008)
  12. 1991 Swiss Singles Chart Hitparade.ch (Retrieved 29 Agosti 2008)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]