Moon Bloodgood
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Moon Bloodgood | |
|---|---|
Bloodgood kwenye seti ya Terminator Salvation |
|
| Amezaliwa | Korinna Moon Bloodgood 20 Septemba 1975 Anaheim, California, US |
| Kazi yake | Mwigizaji/Mwanamitindo |
| Miaka ya kazi | 1997–hadi leo |
Moon Bloodgood (amezaliwa tar. 20 Septemba 1975)[1] ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo kutoka nchini Marekani. Amecheza kama "Lt. Blair Williams" kwenye filamu ya Warner Bros., Terminator Salvation akiwa pamoja na Christian Bale kwa mwongozaji McG. Bloodgood awali alicheza katika filamu ya Eight Below kwa Disney na Pathfinder kwa ajili ya 20th Century Fox.
Marejeo[hariri]
Viungo vya Nje[hariri]
- Moon Bloodgood at the Internet Movie Database
- Moon Bloodgood katika All Movie Guide
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Moon Bloodgood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |