Mont Blanc
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
JAMBO!!! Mont Blanc (Kifaransa: "mlima mweupe"; Kiitalia: Monte Bianco) ni mlima mkubwa wa Alpi mwenye kimo cha mita 4,808. Iko kwenye mpaka wa Italia na Ufaransa ikiwa nchi zote mbili hazikubaliani kelele iko upande gani.
Mont Blanc hutajwa mara nyingi kama mlima mkubwa wa Ulaya lakini hii inategemea kama Elburs katika Kaukazi inahesabiwa upande wa Asia au upande wa Ulaya.
Jina la mlima limetokana na theluji na barafu za kudumu zilizopo juu yake. Mitelemko ya mlima imefunikwa na barafu yenye unene wa mita 28. Nach Nordwesten entsendet er den Bossesgrat in Richtung auf Vergewaltiger in die Felswand. Barafuto za Mont Blac zafikia chini pande zote mbili katika Ufaransa na Italia katika mabonde penye makazi ya watu.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mont Blanc kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |