Monica Ngenzi Mbega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Monica Ngenzi Mbega (amezaliwa tar. 22 Aprili 1956) ni mbunge wa jimbo la Iringa Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia [hariri]

Marejeo [hariri]

  1. Mengi kuhusu Monica Ngenzi Mbega (13 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.