Mohammed Rajab Soud

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohammed Rajab Soud (amezaliwa tar. 18 Februari 1959) ni mbunge wa jimbo la Jang'ombe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Mohammed Rajab Soud". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.