Mohamed Hamisi Missanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohamed Hamisi Missanga (amezaliwa 15 Machi, 1945) ni mbunge wa jimbo la Singida Kusini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Mohamed Hamisi Missanga (25 Aprili 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.