Mnjugu-mawe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mnjugu-mawe
(Vigna subterranea)
Minjugu-mawe shambani
Minjugu-mawe shambani
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Fabales (Mimea kama mharagwe)
Familia: Fabaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mharagwe)
Nusufamilia: Faboideae (Mimea inayofanana na mharagwe)
Jenasi: Vigna
Savi
Spishi: V. subterranea
(L.) Verdc.

Mnjugu-mawe (Vigna subterranea) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae unaozaa njugu-mawe, mbegu zake ambazo zipo moja moja au mbili mbili ndani ya makaka. Tofauti na makaka ya kawaida vikonyo vya yale ya mnjugu-mawe huingia ardhini na makaka yanaendelea chini.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mnjugu-mawe kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.