Mmoyomoyo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mmoyomoyo (Sapindus saponaria) |
||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mmoyomoyo
|
||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mmoyomoyo (Sapindus saponaria) ni mti ambao makokwa (matunda) yake hutumika kwa kutengeneza aina ya sabuni. Uziduzi wa matunda hutumika kwa kulevya samaki au kuua konokono wa maji ambao waambukiza kichocho. Jenasi ya mti huu ni jenasi-mfano ya familia Sapindaceae .
Picha [hariri]
| Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mmoyomoyo kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |