Mlali (ndege)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mlali
Mlali ushungi-mweupe
Mlali ushungi-mweupe
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Corvoidea (Ndege kama kunguru)
Familia: Prionopidae (Ndege walio na mnasaba na mlali)
Jenasi: Philentoma Eyton, 1845

Prionops Vieillot, 1816 Tephrodornis Swainson, 1832

Spishi: Angalia katiba.

Mlali au sekini ni ndege wa familia Prionopidae. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara na Asia ya kusini. Ndege hawa ni weusi na weupe, weusi na rangi ya kijivu au weusi, weupe na rangi ya kijivu pengine pamoja na rangi ya kahawianyekundu kwa tumbo. Domo lao lina ncha kwa kulabu na rangi ya nyeusi au nyekundu; miguu ni myekundu mara nyingi. Spishi za Prionops zina ngozi yenye rangi kali (nyekundu au pinki) kuzunguka macho na ushungi kwa umbo wa helmeti wenye rangi ya nyeupe, kijivu, nyeusi au manjano. Hula wadudu na vertebrata wadogo. Hulijenga tago lao kwa vipande vya gome na tandabui mtini au kichakani na jike huyataga mayai 2-5.

[hariri] Spishi za Afrika

[hariri] Spishi za Asia

[hariri] Picha

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine