Mkoa wa Vallée du Bandama
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mkoa wa Vallée du Bandama |
|
| Nembo ya Cote d'Ivoire | |
| Mahali pa Mkoa wa Vallée du Bandama katika Cote d'Ivoire | |
| Anwani ya kijiografia: 8°15′N 4°50′W / 8.25°N 4.833°W | |
| Nchi | |
|---|---|
| Wilaya | 7 |
| Mji mkuu | Bouaké |
| Eneo | |
| - Mkoa | 28.200 km² |
| Idadi ya wakazi (1998) | |
| - Mji | 1.080.432 |
| Time zone | GMT (UTC+0) |
Mkoa wa Vallée du Bandama (far.: Région de la Vallée du Bandama) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kitovu cha nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 1.080.432. [1]
Kuna wilaya 7 ambazo ni
Makao makuu yako Bouaké.
Marejeo [hariri]
|
|
|
|---|---|
| Agnéby | Bafing | Bas-Sassandra | Denguélé | Fromager | Haut-Sassandra | Lacs | Lagunes | Marahoué | Montagnes | Moyen-Cavally | Moyen-Comoé | N'zi-Comoé | Savanes | Sud-Bandama | Sud-Comoé | Vallée du Bandama | Worodougou | Zanzan | |
| +/- | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Vallée du Bandama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |