Mkoa wa Thừa Thiên - Huế
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thừa Thiên - Huế ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Huế. Eneo lake ni 5,053.99 km². Mwaka 2009 wakazi 1,087,420 walihesabiwa.
Tazama pia [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Thừa Thiên - Huế kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |