Mkoa wa N'zi-Comoé
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mkoa wa N'zi-Comoé |
|
| Nembo ya Cote d'Ivoire | |
| Mahali pa Mkoa wa N'zi-Comoé katika Cote d'Ivoire | |
| Anwani ya kijiografia: 7°15′N 4°10′W / 7.25°N 4.167°W | |
| Nchi | |
|---|---|
| Wilaya | 8 |
| Mji mkuu | Dimbokro |
| Eneo | |
| - Mkoa | 19.480 km² |
| Idadi ya wakazi (1998) | |
| - Mji | 633.922 |
| Time zone | GMT (UTC+0) |
Mkoa wa N'zi-Comoé (far.: Région du N'zi-Comoé) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kitovu cha nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 633.922. [1]
Kuna wilaya 8 ambazo ni
- Arrah,
- Bocanda,
- Bongouanou,
- Daoukro,
- Dimbokro,
- M'Bahiakro,
- M'Batto,
- Prikro.
Makao makuu yako Dimbokro.
Marejeo [hariri]
|
|
|
|---|---|
| Agnéby | Bafing | Bas-Sassandra | Denguélé | Fromager | Haut-Sassandra | Lacs | Lagunes | Marahoué | Montagnes | Moyen-Cavally | Moyen-Comoé | N'zi-Comoé | Savanes | Sud-Bandama | Sud-Comoé | Vallée du Bandama | Worodougou | Zanzan | |
| +/- | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa N'zi-Comoé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |