Mkoa wa Muramvya
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Mkoa wa Muramvya katika Burundi
Mkoa wa Muramvya ni moja kati ya mikoa ya Burundi. Jumla ya wakazi ilikuwa 303,000 mwaka 2007. Eneo lake ni la 597 km².
Mji mkuu ni Muramvya.
Tazama pia [hariri]
| Mikoa ya Burundi | |
|---|---|
| Bubanza • Bujumbura Mairie • Bujumbura Rural • Bururi • Cankuzo • Cibitoke • Gitega • Karuzi • Kayanza • Kirundo • Makamba • Muramvya • Muyinga • Mwaro • Ngozi • Rutana • Ruyigi | |
| +/- | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Muramvya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |