Mkoa wa Moyen-Comoé
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mkoa wa Moyen-Comoé |
|
| Nembo ya Cote d'Ivoire | |
| Mahali pa Mkoa wa Moyen-Comoé katika Cote d'Ivoire | |
| Anwani ya kijiografia: 6°30′N 3°25′W / 6.5°N 3.417°W | |
| Nchi | |
|---|---|
| Wilaya | 3 |
| Mji mkuu | Abengourou |
| Eneo | |
| - Mkoa | 6.900 km² |
| Idadi ya wakazi (1998) | |
| - Mji | 394.741 |
| Time zone | GMT (UTC+0) |
Mkoa wa Moyen-Comoé (far.: Région du Moyen-Comoé) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire. Iko katika Mashariki ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 394.741. [1]
Kuna wilaya 3 ambazo ni
Makao makuu yako Abengourou.
Marejeo [hariri]
|
|
|
|---|---|
| Agnéby | Bafing | Bas-Sassandra | Denguélé | Fromager | Haut-Sassandra | Lacs | Lagunes | Marahoué | Montagnes | Moyen-Cavally | Moyen-Comoé | N'zi-Comoé | Savanes | Sud-Bandama | Sud-Comoé | Vallée du Bandama | Worodougou | Zanzan | |
| +/- | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Moyen-Comoé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |