Mkoa wa Moyen-Cavally
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mkoa wa Moyen-Cavally |
|
| Nembo ya Cote d'Ivoire | |
| Mahali pa Mkoa wa Moyen-Cavally katika Cote d'Ivoire | |
| Anwani ya kijiografia: 6°25′N 7°30′W / 6.417°N 7.5°W | |
| Nchi | |
|---|---|
| Wilaya | 4 |
| Mji mkuu | Guiglo |
| Eneo | |
| - Mkoa | 14.150 km² |
| Idadi ya wakazi (1998) | |
| - Mji | 508.728 |
| Time zone | GMT (UTC+0) |
Mkoa wa Moyen-Cavally (far.: Région du Moyen-Cavally) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire. Iko katika magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 508.728. [1]
Kuna wilaya 4 ambazo ni
Makao makuu yako Guiglo.
Marejeo [hariri]
|
|
|
|---|---|
| Agnéby | Bafing | Bas-Sassandra | Denguélé | Fromager | Haut-Sassandra | Lacs | Lagunes | Marahoué | Montagnes | Moyen-Cavally | Moyen-Comoé | N'zi-Comoé | Savanes | Sud-Bandama | Sud-Comoé | Vallée du Bandama | Worodougou | Zanzan | |
| +/- | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Moyen-Cavally kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |