Mkoa wa Lâm Đồng
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lâm Đồng ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Đà Lạt. Eneo lake ni 9,764.8 km². Mwaka 2009 wakazi 1,187,574 walihesabiwa.
Tazama pia [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Lâm Đồng kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |