Mkoa wa Khánh Hòa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Khánh Hòa ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Nha Trang. Eneo lake ni 5,217.6 km². Mwaka 2009 wakazi 1,157,604 walihesabiwa.
Tazama pia [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Khánh Hòa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |