Mkoa wa Fromager
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mkoa wa Fromager |
|
| Nembo ya Cote d'Ivoire | |
| Mahali pa Mkoa wa Fromager katika Cote d'Ivoire | |
| Anwani ya kijiografia: 6°15′N 5°55′W / 6.25°N 5.917°W | |
| Nchi | |
|---|---|
| Wilaya | 2 |
| Mji mkuu | Gagnoa |
| Eneo | |
| - Mkoa | 6.912 km² |
| Idadi ya wakazi (1998) | |
| - Mji | 542.992 |
| Time zone | GMT (UTC+0) |
Mkoa wa Fromager (far.: Région du Fromager) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kusini ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 542.992. [1]
Kuna wilaya 2 ambazo ni
Makao makuu yako Gagnoa.
Marejeo [hariri]
|
|
|
|---|---|
| Agnéby | Bafing | Bas-Sassandra | Denguélé | Fromager | Haut-Sassandra | Lacs | Lagunes | Marahoué | Montagnes | Moyen-Cavally | Moyen-Comoé | N'zi-Comoé | Savanes | Sud-Bandama | Sud-Comoé | Vallée du Bandama | Worodougou | Zanzan | |
| +/- | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Fromager kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |