Mkoa wa Denguélé
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mkoa wa Denguélé |
|
| Nembo ya Cote d'Ivoire | |
| Mahali pa Mkoa wa Denguelé katika Cote d'Ivoire | |
| Anwani ya kijiografia: 9°30′N 7°25′W / 9.5°N 7.417°W | |
| Nchi | |
|---|---|
| Wilaya | 4 |
| Mji mkuu | Odienné |
| Eneo | |
| - Mkoa | 21.000 km² |
| Idadi ya wakazi (1998) | |
| - Mji | 222.446 |
| Time zone | GMT (UTC+0) |
Mkoa wa Denguélé (far.: Région du Denguélé) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kaskazini-magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 222.446. [1]
Kuna wilaya 4 ambazo ni
Makao makuu yako Odienné.
Marejeo[hariri]
|
|
|
|---|---|
| Agnéby | Bafing | Bas-Sassandra | Denguélé | Fromager | Haut-Sassandra | Lacs | Lagunes | Marahoué | Montagnes | Moyen-Cavally | Moyen-Comoé | N'zi-Comoé | Savanes | Sud-Bandama | Sud-Comoé | Vallée du Bandama | Worodougou | Zanzan | |
| +/- | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Denguélé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |