Kleri
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mkleri)
Daraja takatifu tatu za Kanisa la Kiorthodoksi: askofu (kulia, kwenye altare), padri (kushoto), na mashemasi wawili (waliovaa rangi ya dhahabu).
Kleri ni kundi la watu wanaoongoza dini fulani. Jina linatokana na neno la Kigiriki "κλῆρος" - klēros, "bahati", "sudi" au also "urithi".
| Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kleri kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |