Mike Kirkwood

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mike Kirkwood (amezaliwa 1943 kule Visiwa vya Karibi) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini na mhariri wa jarida Staffrider. Baadaye alihamia Uingereza.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mike Kirkwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.