Mikael Agricola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Picha:Mikael Agricola bust.jpg
Sanamu ya Mikael Agricola kwenye Kanisa Kuu la Turku, Ufini.

Mikael Agricola (takriban 1509 – 9 Aprili, 1557) alikuwa mwanateolojia katika nchi ya Ufini. Alikuwa mwanafunzi wa Martin Luther na Philipp Melanchthon na baadaye alileta mabadiliko ya kanisa kule Finland. Pia alianzisha fasihi katika lugha ya Kifini na kutafsiri Agano Jipya.


People.svg Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mikael Agricola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine