Mihai Cătălin Frăţilă

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Mihai Cătălin Frăţilă (amezaliwa 10 Desemba 1970) ni askofu Mkatoliki nchini Romania. Aliwekwa wakfu na Askofu Mkuu Lucian Muresan mwaka wa 2007. Tangu mwaka huo, ni askofu wa Dayosisi ya Novae.

Viungo vya nje [hariri]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mihai Cătălin Frăţilă kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.