Michael Smith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png

Michael Smith (26 Aprili, 19324 Oktoba, 2000) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Baadaye alihamia Kanada. Hasa alichunguza taaluma ya jenetiki na sifa za protini. Mwaka wa 1993, pamoja na Kary Mullis alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Tuzo Nobel.png Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Smith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine