Michael Pupin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Michael Pupin

Michael Idvorsky Pupin (4 Oktoba, 185812 Machi, 1935) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza na kuboresha mawasiliano ya simu. Mwaka wa 1924, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa tawasifu yake From Immigrant to Inventor ("Kwanza Mhamiaji, halafu Mvumbuzi").

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Pupin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine