Mgana Izumbe Msindai
Mgana Izumbe Msindai (amezaliwa 28 Novemba, 1948) ni mbunge wa jimbo la Iramba Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Mengi kuhusu Mgana Izumbe Msindai (25 Aprili 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |