Meru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Meru ni jina la kutaja
- Meru (Kenya) - nchi ya Wameru katika Mkoa wa Mashariki ambao ni majirani wa Wakikuyu, Waembu na Wakamba.
- Meru, Kenya mji katika Wilaya ya Meru Kati
- Mlima Meru nchini Tanzania ni jirani ya Mlima Kilimanjaro
- Meru (Uhindu) ni jina la mlima katika masimulizi ya kidini ya Uhindu
- Meru (Ufaransa) ni mji mdogo kaskazini-mashariki ya Paris.