Memphis Grizzlies

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rudy Gay alichezea Grizzlies kutoka 2006 hadi 2013.

Memphis Grizzlies ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Memphis, Tennessee. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Hasheem Thabeet.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Memphis Grizzlies kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.