Melesi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Melesi | ||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Melesi (kutoka Kilatini: meles, Kisayansi: Meles) ni jenasi ya spishi tatu ya melesi kama Melesi wa Japani (Meles anakuma), Melesi wa Asia (Meles leucurus) na Melesi wa Ulaya (Meles meles). Melesi wanafanana na lakini ni wakubwa kuliko nyegere wa Afrika.
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Melesi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |