22 Mei
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mei 22)
| Apr - Mei - Jun | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1813 - Richard Wagner, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1912 - Herbert Brown, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
- 1927 - George Olah (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1994)
Waliofariki [hariri]
- 337 - Flavius Valerius Constantinus aliyejulikana kama Kaisari Konstantino Mkuu na kumaliza mateso ya Wakristo katika Dola la Roma
- 1667 - Papa Alexander VII
- 1885 - Victor Hugo, mwandishi maarufu kutoka Ufaransa
- 1983 - Albert Claude, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974
- 1997 - Alfred Hershey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969