Mecklenburg-Pomerini Magharibi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mecklenburg-Vorpommern)
Mahali pa Mecklenburg-Pomerini katika Ujerumani
Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Kijerumani: Mecklenburg-Vorpommern) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 1,652 kwenye eneo la 23.180 km². Mji mkuu ni Schwerin. Waziri mkuu ni Erwin Sellering (SPD).
Jiografia [hariri]
Mecklenburg-Pomerini Magharibi imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Schleswig-Holstein, Saksonia Chini na Brandenburg.
Miji mikubwa ni pamoja na Schwerin na Rostock.
Elbe na Oder ni mito muhimu zaidi.
Picha za Mecklenburg-Pomerini [hariri]
Tovuti za Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mecklenburg-Pomerini Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Baden-Württemberg • Bavaria (Bayern) • Berlin • Brandenburg • Bremen • Hamburg • Hesse (Hessen) • Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern) • Saksonia Chini (Niedersachsen) • Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen) • Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz) • Saar (Saarland) • Saksonia (Sachsen) • Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt) • Schleswig-Holstein • Thuringia (Thüringen) | |