Mdumange

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mdumange ni moja ya ngoma za asili ya mkoa wa Tanga, Tanzania. Ngoma hiyo asili yake ni Usambaa na huchezwa sana na kabila la Wasambaa.[1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Hamza Lukta - Mdumange(Sambaa,Tanga), by Hamza Lukta". Swahili Records (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-01-13. 
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdumange kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.