Mbuyu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mbuyu (Adansonia digitata) |
||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mbuyu
|
||||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mbuyu (Adansonia digitata) ni mti mkubwa wa ukande wa tropiki. Matunda yake yanaitwa mabuyu, gamba la tunda linaitwa kibuyu na ubuyu ni nyama ya tunda.
Picha [hariri]
| Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbuyu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |