Mbaruti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mbaruti
(Argemone mexicana)
Mbaruti
Mbaruti
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
Oda: Ranunculales (Mimea kama mpopi)
Familia: Papaveraceae (Mimea iliyo mnasaba na mpopi)
Nusufamilia: Papaveroideae
Jenasi: Argemone
L.
Spishi: A. Mexicana
L.

Mbaruti au mtunguja bonde (Argemone mexicana) ni aina ya mpopi iliyo na maua njano na majani yenye miiba. Mmea huu hutumika katika uganga wa kienyeji, lakini umevamia Afrika kutoka Mexiko na sikuhizi unaletea mashamba shida nyingi.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbaruti kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.