Mbangi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mbangi (Cannabis spp.) |
||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mbangi
|
||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mibangi (Cannabis spp.) ni vichaka vitumikavyo ili kutengeneza nyuzinyuzi au madawa ya kulevya (bangi).
Spishi [hariri]
- Cannabis indica Mbangi wa kihindi: hutoa bangi.
- Cannabis ruderalis Mbangi-wanja: hutumika kwa kuchavusha.
- Cannabis sativa Mbangi-mwitu: hutoa nyuzinyuzi hasa.
Picha [hariri]
| Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbangi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |