Maurice Jarre
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maurice-Alexis Jarre (13 Septemba, 1924 – 28 Machi, 2009)[1][2][3][4] alikuwa mtunzi wa vibwagizo vya filamu na mwongozaji muziki wa vyombo vingi kutoka nchini Ufaransa.
Japokuwa ametunga tungo kadhaa kwa ajili ya kazi za maonyesho ya muziki, alifahamika sana kwa utunzi wake wa vibwagizo vya filamu, na hasa kwa kufanya kazi pamoja na mwongozaji David Lean. Jarre ametarishaji vibwagizo karibuni vya filamu zote za Lean tangu Lawrence of Arabia (1962). Vibwagizo vingine maarufu ni pamoja na The Message (1976), Dead Poets Society (1989) na Ghost (1990). Jarre alizawadiwa nyota katika Hollywood Walk of Fame.[5]
[hariri] Marejeo
- ↑ McLellan, Dennis. "Maurice Jarre dies at 84; composer for 'Lawrence of Arabia'", Los Angeles Times, March 31, 2009. Retrieved on March 31, 2009.
- ↑ Weber, Bruce. "Maurice Jarre, Hollywood Composer, Dies at 84", The New York Times, March 31, 2009. Retrieved on March 31, 2009.
- ↑ allmusic Biography
- ↑ « Epic Composer Maurice Jarre Dies at 84 », peoplestar.co.uk, March 30, 2009.
- ↑ Maurice Jarre (I) - Biography
[hariri] Viungo vya Nje
- Maurice Jarre kwenye Internet Movie Database
- NYTimes filmography
- Filmography, soundtrack reviews, capsule biography
- Obituary by the Associated Press on Legacy.com
- Hollywood’s top music composer Jarre dies
- O'Connor, Patrick. "Obituary", The Guardian, 31 March 2009.
- Maurice Jarre katika Find A Grave