Matt Dallas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Matt Dallas
Dallas at the world premiere for Thor in Hollywood Heights, Los Angeles.
AmezaliwaMatthew Joseph Dallas
Oktoba 21 1982 (1982-10-21) (umri 41)
Kazi yakeMwigizaji
Miaka ya kazi2005–hadi sasa
NdoaBlue Hamilton (m. 2015–present) «start: (2015)»"Marriage: Blue Hamilton to Matt Dallas" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Matt_Dallas)

Matthew Joseph "Matt" Dallas (amezaliwa tar. 21 Oktoba, 1982) ni mwigizaji wa filamu na vipindi vya televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza  uhusika wa katika mfululizo wa TV ya ABC Family Kyle XY.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Dallas alizaliwa mjini Phoenix, Arizona, na alihitimu katika shule ya Arizona School for the Arts. Ana ndugu wawili wa kiume na mmoja wa kike.[1] Alianza kuwa na shauku ya uigizaji tangu akiwa na umri wa miaka 12, wakati bibi yake alivyomchukua katika utayarishaji wa tamthiliya ya The Ugly Duckling.

Kazi za sanaa[hariri | hariri chanzo]

Dallas amecheza katika filamu kadhaa, vilevile uhusika katika mfululizo wa TV wa ABC Family, Kyle XY kwa misimu mitatu. Mfululizo uliisha mnamo tarehe 16 Machi, 2009 baada ya kukatwa na ABC. Dallas pia ameonekana katika Camp Slaughter (2005), Living The Dream (2006), na Babysitter Wanted (2008). Alikuwa mgeni kwenye kipindi cha TV cha Entourage.

Mwaka wa 2004, Dallas alionekana katika muziki wa video wa Fan, "Geek Love". Mwaka wa 2005, Dallas alicheza na Mischa Barton kwenye muziki wa video wa James Blunt wa "Goodbye My Lover" na mwaka wa 2008 alionekana katika muziki wa video wa Katy Perry,  "Thinking of You".

Dallas alikuwa mshiriki kwenye TV mchezo wa ABC', Eastwick, alicheza kama kipenzi cha Roxie (Rebecca Romijn).[2] Mnamo 9 Novemba, 2009, ABC walikataa kuagiza vipengele vingine vya Eastwick, hatimaye mfululizo ukakatwa.[3] Mwaka wa 2009, ilitangazwa ya kwamba Dallas atacheza kwenye filamu ya Beauty and the Briefcase akiwa na Hilary Duff. Dallas alikuwa katika filamu za Kihindi-Kimagharibi iliyoitwa The First Ride of Wyatt Earp kama Bat Masterson, ambayo ilitolewa mnamo tarehe 6 Machi, 2012.

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 6 Januari, 2013, Dallas alitangaza uchumba wake kupitia Twitter kuwa bwana wa Blue Hamilton, mwanamuziki.[4][5] Wameoana mnamo Julai 5, 2015.[6][7]

Filmografia[hariri | hariri chanzo]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka
Jina
Uhusika
Maelezo
2005 Way of the Vampire Todd
2005 Camp Slaughter Mario
2005 Wannabe Monkee Dancer #1
2006 Living the Dream Michael
2006 Shugar Shank Evan Short film
2007 The Indian Danny Monaco Film Festival Award for Best Newcomer
2008 Babysitter Wanted Rick
2010 As Good as Dead Jake
2010 In Between Days Ashley Short film
2010 Beauty & the Briefcase Seth Television movie
2011 The Story of Bonnie and Clyde Henry Methvin
2011 You, Me & The Circus Max
2012 The First Ride of Wyatt Earp Bat Masterson
2012 The Ghost of Goodnight Lane Ben
2012 Naughty or Nice Lance Leigh Television movie
2013 Into The Heart of America Documentarian Documentary
2013 Isolated Ambassador
2013 Life Tracker Scott Orenhouser
2013 Dig Craig Short film
2014 Phantasmagoria Donald Gordon Pre-production
2014 Thunder Road SPC. Darryl Sparks Announced
2014 1% ERS (short) Ryan Post-production
2015 Paradox Caleb Pre-production

Televisheni[hariri | hariri chanzo]

Mwaka
Jina
Uhusika
Maelezo
2005 Entourage Male model Episode: "Chinatown"
2006–2009 Kyle XY Kyle Trager / Young Adam Baylin Main role

Nominated—Saturn Award for Best Actor on Television (2007–08)
Nominated—Teen Choice Award for Choice Drama Series

2009 Eastwick Chad Burton Recurring role (6 episodes)
2013–2014 Baby Daddy Fitch Douglas Recurring role (5 episodes)

Muziki wa video[hariri | hariri chanzo]

Mwaka
Jina
Uhusika
Maelezo
2004 "Geek Love" Geek Music Video by Fan 3
2005 "Goodbye My Lover" Music video by James Blunt
2009 "Thinking of You" Love interest Music video by Katy Perry
2014 "It's My Belly Button" Kyle XY Music video by Rhett and Link

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Matt Dallas Biography. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-12-03. Iliwekwa mnamo 22 February 2013.
  2. "Romijn's New Series Heads To Dallas", TV Guide, 2009-03-16. Retrieved on 2009-03-22. Archived from the original on 2009-03-29. 
  3. "Eastwick" Cancelled; "The Forgotten" Gets More Episodes, "Let's Dance" Scrapped Archived 11 Februari 2010 at the Wayback Machine., TV By the Numbers, November 9, 2009
  4. "Kyle XY's Matt Dallas Talks Wedding to Fiancé Blue Hamilton: No Date Set and No Stressing Out! | E! Online UK", Ca.eonline.com, 2013-11-26. Retrieved on 2013-12-05. 
  5. "Matt Dallas comes out as gay: Kyle XY star engaged to boyfriend Blue Hamilton | Mail Online", London: Dailymail.co.uk, January 7, 2013. Retrieved on 2013-12-05. 
  6. Rouse, Wade (2013-04-15). Matt Dallas Marries Blue Hamilton: See the Wedding Photo. People.com. Iliwekwa mnamo 2015-07-07.
  7. Matt Dallas Marries Blue Hamilton: See the Newlyweds at the Courthouse!. E! Online. Iliwekwa mnamo 2015-07-07.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]