Mathias Meinrad Chikawe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chikawe

Mathias Meinrad Malome Chikawe (amezaliwa 30 Mei 1951) ni Mbunge wa jimbo la Nachingwea katika Bunge la Tanzania, awamu ya 2005 hadi 2010[1]. Anatokea katika chama cha CCM. Katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Chikawe alikuwa Waziri wa Sheria. Mwaka wa 1982 alipata shahada ya tatu katika somo la sheria ya kimataifa huko Uholanzi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Mathias Meinrad Malome Chikawe". 10 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]