Martinus Veltman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Martinus Veltman

Martinus Justinus Godefriedus Veltman (27 Juni 1931 - 2021) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uholanzi. Hasa alichunguza nadharia ya chembe za atomu.

Mwaka wa 1999, pamoja na mwanafunzi wake Gerardus 't Hooft, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martinus Veltman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.