Mark Eyskens

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Marc Maria Frans Eyskens (amezaliwa 29 Aprili, 1933) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Ubelgiji. Alikuwa Waziri Mkuu wa Ubelgiji kuanzia 6 Aprili hadi 17 Desemba, 1981. Miaka ya 1989 hadi 1992 alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Yeye ni mwana wa Waziri Mkuu Gaston Eyskens.

Mark Eyskens

[hariri] Angalia Pia

Administradors.gif Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mark Eyskens kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine